Binti aliyejaliwa udongo amewaacha wanaume wakidondokwa na mate baada ya kushiriki video yake ya mazoezi.
Kwenye video aliyoshiriki TikTok, binti huyo alionekana akitingisha madigda yake manene na kuwaacha hoi wanaume.
Hii ni kabla ya kuanza mazoezi ambako anaonekana akifanya mazoezi ambayo pengine ndiyo yanachangia ukubwa wa makalio yake.
Wanamitandao wengi, haswa wanaume walimmiminia sifa huku wengine wakitangaza wazi kuwa kawapagawisha.
Haya ni baadhi ya maoni:
“ Ungekuwa demu wangu ningehakikisha unashika mimba kila mwaka” mmoja alisema.
“Napenda ninachokiona”
“ Hata nashinwa kuhema. Mwenyezi-Mungu chukua usukani.”
“Hapa naweza uza mali yangu alimrai nirambe..” alisema mwingine.
“ Sasa ukisikia utamu basi ndo huu”
“ Nikikupata sitataka mwingine”
HABARI NYINGINE: Iweje Mwenye ‘Udongo’ Ajiamini Kuliko Aliye na Digrii?
Binti huyo kwa jina LondonDaGreat1 amepata umaarufu kwa kupakia video za kuvutia.
READ ENGLISH VERSION
Je, unayo taarifa murwa ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia info@gotta.news.