Burudani

Roxsana Diaz: Picha 10 za Mwalimu MREMBO Zaidi Duniani

roxsana-diaz-instagram

-Mwalimu Roxsana Diaz alizua gumzo mtandaoni baada ya picha zake kusambaa mtandaoni.

-Baadhi ya wazazi na wanamtandao walimtaka Roxsana afutwe kazi kwa kuwa mrembo kupindukia.

Mwalimu wa sanaa ya uchoraji Roxsana Diaz alijipata mashakani baada ya picha yake kusambaa mtandaoni.

Picha hiyo ilipigwa na mmoja wa wazazi ambaye tayari amejitokeza na kuweka wazi kuwa hakudhamiria kumsababishia Roxsana balaa.

Roxsana-diaz

Mwalimu huyo mwenye umbo namba nane alipongezwa na wengi baada ya picha yake kuenea mtandaoni.

Roxsana anafunza sanaa katika shule katika eneo la Pennsauken, katika jimbo la New Jersey nchini Marekani.

roxsan-instagram

Hata hivyo, baadhi ya wanamtandao hasa wanawake walimkemea wakisema mavazi yake yalikiuka kanuni za uwaalimu.

“Ondoa picha za kupandisha ‘kiu’ hapo” mmoja wa wanamtandao alimkemea.

roxsana-diaz

“Ni Dhahiri kwenye picha kuwa analenga kuonyesha umbo lake la kuvutia. Na kufanya hivyo darasani ni kukiuka kanuni za ualimu,”alisema mwanamtandao mwingine.

“Wewe hufunzi sanaa bali mambo yasiyofaa. Na tutahakikisha umefutwa kazi,” mwingine alionya.

roxsana diaz photos

Yote tisa, mwalimu Roxsana anapendwa na wanafunzi wake ambao wamempa lakabu ya “Miss A.”

Akiwa na wafuasi zaidi ya milioni moja katika Instagram, Roxsana anafahamu jinsi ya kuwavutia wanaume.

roxsana

Picha zake zinavutia mno na wanaume hawaishi kumsifia.

Akizungumzia picha zake zilizoenea mtandaoni kuhusu umbo lake, mwalimu huyo alisema kuwa picha hizo zilikuwa za kitambo kabla yake kupata umaarufu mitandaoni.

roxsana-photos

“Kisha sivalii mavazi yasiyotakiwa. Ningekuwa nimefutwa kitambo iwapo mie ni mtu wa kuvalia mavazi ya aibu. Nilijitolea bila malipo miaka saba kabla kupata nafasi rasmi ya kufunza.

roxsana

“Inatamausha kuwa mitandao jamii inaweza kueneza uongo usiomithilika,”alisema Diaz.

Alisema kipindi baadhi ya wazazi walipopiga simu kwa mamlaka za elimu wakitaka afutwe kazi, wanafunzi wake waliingiwa na hofu kwa kudhania kuwa angetimuliwa.

curvy-teacher-photos

“Nakumbuka wanafunzi wangu wawili wa kike wakinikumbatia huku wakilengwa lengwa na machozi. Sikutaka kuzungumzia suala hilo la msukosuko na wanafunzi wangu,” alisema Diaz.

HABARI NYINGINE: VIDEO: Binti Atingisha Madigda Makubwa, Wanaume Wadondokwa Mate

curvy-women

Je, unayo taarifa murwa ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected].

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kali Zaidi

To Top
Sorry this site disable right click
Sorry this site disable selection
Sorry this site is not allow cut.
Sorry this site is not allow copy.
Sorry this site is not allow paste.
Sorry this site is not allow to inspect element.
Sorry this site is not allow to view source.